King2 JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 1,277 Reaction score 182 Feb 13, 2012 #21 Ni kweli hawa jamaa wanakata mshahara wako nusu wakishakutaftia kazi mfano ultakiwa kulipwa laki 8 laki 4 yako wanachukua?
Ni kweli hawa jamaa wanakata mshahara wako nusu wakishakutaftia kazi mfano ultakiwa kulipwa laki 8 laki 4 yako wanachukua?
TzPride JF-Expert Member Joined Nov 2, 2006 Posts 2,616 Reaction score 1,169 Feb 15, 2012 #22 Kama huna kazi waone wakupe kazi, ukipata pazuri nyanyuka....ndivyo nilivyofanya. Kweli watakula sana jasho lako....it is okay, si mjini bwana na wewe uko kwenye mawe wakati huo unategemea nini?
Kama huna kazi waone wakupe kazi, ukipata pazuri nyanyuka....ndivyo nilivyofanya. Kweli watakula sana jasho lako....it is okay, si mjini bwana na wewe uko kwenye mawe wakati huo unategemea nini?