BabuK JF-Expert Member Joined Jul 30, 2008 Posts 1,845 Reaction score 329 Nov 27, 2009 #1 Wadau, Nilizuru tovuti ya ewura- mamlaka ya uthibiti wa nishati na maji na kukumbana na fomu hii.... Je hatuna kwa lugha ya kiswahili?? http://www.ewura.go.tz/pdf/EWURA Complaint Form 500.pdf
Wadau, Nilizuru tovuti ya ewura- mamlaka ya uthibiti wa nishati na maji na kukumbana na fomu hii.... Je hatuna kwa lugha ya kiswahili?? http://www.ewura.go.tz/pdf/EWURA Complaint Form 500.pdf
MaxShimba JF-Expert Member Joined Apr 11, 2008 Posts 35,771 Reaction score 4,065 Nov 27, 2009 #2 Inawezekana kuwa official language ya Tanzania ni Kiswahili na English. Angalia hii web http://www.tanzania.go.tz/ Sasa, lugha yetu ni ipi Mkuu?
Inawezekana kuwa official language ya Tanzania ni Kiswahili na English. Angalia hii web http://www.tanzania.go.tz/ Sasa, lugha yetu ni ipi Mkuu?
M mpangwa1 JF-Expert Member Joined Jul 19, 2009 Posts 278 Reaction score 8 Nov 28, 2009 #3 MaxShimba said: Sasa, lugha yetu ni ipi Mkuu? Click to expand... Kiswahili na kingereza