Katika hali ambayo siyo ya kawaida leo nilijaribu kupost mada fulani katika mtandao wa Facebook lakini inaonekana wameu- cease message haziendi. Anyway hata hivyo lengo la maandamano limesomeka vizuri ingawa wanaoandamana ni askari polisi na hawataki yeyote kuandamana isipokuwa wao tu.