map location...Kuna mshikaji tunafanya shughuli sehem moja, sina mazoea nae ya ukaribu tofaugi na Hi tu za kishikaji, sasa Jana nimechungulia fb nakutana nae kwenye ile list ya "people you may know' aisee nilishangaa! Inakuaje nimkute huku wakati hata namba yake ya sim sina?
Tusubiri majibu ya wajuzi wa mamboKuna mshikaji tunafanya shughuli sehem moja, sina mazoea nae ya ukaribu tofaugi na Hi tu za kishikaji, sasa Jana nimechungulia fb nakutana nae kwenye ile list ya "people you may know' aisee nilishangaa! Inakuaje nimkute huku wakati hata namba yake ya sim sina?
Lakini hapo nazani watakua wamekuunganisha nae kupitia namba mojawapo ambayo wewe unayo then wakafanya connection kwa kuptia huyo mtu wa pili,yaani kuna watu watatu wamehusika wewe,wa kwenye simu yako na huyo unae peana nae Hi tu.Kuna mshikaji tunafanya shughuli sehem moja, sina mazoea nae ya ukaribu tofaugi na Hi tu za kishikaji, sasa Jana nimechungulia fb nakutana nae kwenye ile list ya "people you may know' aisee nilishangaa! Inakuaje nimkute huku wakati hata namba yake ya sim sina?
duuuuuu nimekupata mkuuuu,leteni nondo zingine ili tujue zaidi.Mdukuzi ni mtu anayechukua data zako bila wewe kuridhia, lakini kwa Facebook; ulivyo jiunga tu ukawapa ridhaa zote bila hata kusoma Terms of use zao; ukiipa location access app yao jua umewapa ruhusa kukutrack, uki upload picha yako ushawapa ruhusa kuiweka kwenye facial recognition data base zao, ukikubali app yao ya Messenger kuacess contact zako ndio basi tena hapo n.k. Kwahiyo Facebook sio wadukuzi sababu ya wewe kuwapa ridhaa yako. Kumbuka "when something is free, know that you are the product."
Facebook ni biashara ambayo wewe unaipa personal information zako (itayowauzia watu wengine) in return wanakupa service hiyo ya Social networking (upate mademu, uuze bidhaa zako, upost kinacho kujia akilini na upate likes n.k.)
FACEBOOK HIO PROCESS YA LOCATION IMEANZA MWAKA JANA HV HATA KAMA HAMJUANI ILA MNAKAA KARIBU KARIBU LAZIMA MTAONANA KUTOKANA NA FACEBOOK INAKUONYESHA WATU WALIO FACEBOOK NA AMBAO UPO NAO KARIBU BILA KUCHUKIA DETAIL YAKEKuna mshikaji tunafanya shughuli sehem moja, sina mazoea nae ya ukaribu tofaugi na Hi tu za kishikaji, sasa Jana nimechungulia fb nakutana nae kwenye ile list ya "people you may know' aisee nilishangaa! Inakuaje nimkute huku wakati hata namba yake ya sim sina?