HPAUL
JF-Expert Member
- Jan 18, 2011
- 410
- 567
Siku za nyuma tumeona wachezaji wenye migogoro na klabu zao, wakati mgogoro unasubiri kufanyiwa maamuzi, mchezaji anaruhusiwa kujiunga na klabu kwa miezi 6, bila ada ya uhamisho.
Mfano ni Emmanuel Okwi alijiunga na Yanga, wakati akiwa katika mgogoro na klabu ya Etoile du Sahel ya Tunisia.
Sasa wanaojua sheria za mpira naomba wanijuze, endapo Fei atakata rufaa CAS, atapewa kibali Cha kuchezea klabu nyingine ili kulinda kipaji chake wakati ansubiria maamuzi ya kesi yake?
Kama ni hivyo ina maana Azam wanaweza mpata bure kwa miezi 6.