Swala la kulinda kipaji kinatumika ikiwa club ndo imevunja mkataba. Kwa swala la Okwi club ilishindwa kumlipa hata Msuva the same.Kwa Feisal yeye ndo anavunja mkataba na club inamlipa as per contract na haijamzuia kucheza. Mhalifu analindwa, uliona wapi? Yeye ataambiwa, afuate utaratibu aende timu inayomtaka.Siku za nyuma tumeona wachezaji wenye migogoro na klabu zao, wakati mgogoro unasubiri kufanyiwa maamuzi, mchezaji anaruhusiwa kujiunga na klabu kwa miezi 6, bila ada ya uhamisho. Mfano ni Emmanuel Okwi alijiunga na Yanga, wakati akiwa katika mgogoro na klabu ya Etoile du Sahel ya Tunisia.
Sasa wanaojua sheria za mpira naomba wanijuze, endapo Fei atakata rufaa CAS, atapewa kibali Cha kuchezea klabu nyingine ili kulinda kipaji chake wakati ansubiria maamuzi ya kesi yake? Kama ni hivyo ina maana Azam wanaweza mpata bure kwa miezi 6.
Azam Wala hawana shida naye, wansyofanya yote haya Ni Ngada FC waliobebeshwa mixigo to aarabuniSiku za nyuma tumeona wachezaji wenye migogoro na klabu zao, wakati mgogoro unasubiri kufanyiwa maamuzi, mchezaji anaruhusiwa kujiunga na klabu kwa miezi 6, bila ada ya uhamisho.
Mfano ni Emmanuel Okwi alijiunga na Yanga, wakati akiwa katika mgogoro na klabu ya Etoile du Sahel ya Tunisia.
Sasa wanaojua sheria za mpira naomba wanijuze, endapo Fei atakata rufaa CAS, atapewa kibali Cha kuchezea klabu nyingine ili kulinda kipaji chake wakati ansubiria maamuzi ya kesi yake?
Kama ni hivyo ina maana Azam wanaweza mpata bure kwa miezi 6.
Wala msimung'unye maneno kuhalalisha ujinga. Feisal hana mgogoro na Yanga ana utovu wa nidhamu.Siku za nyuma tumeona wachezaji wenye migogoro na klabu zao, wakati mgogoro unasubiri kufanyiwa maamuzi, mchezaji anaruhusiwa kujiunga na klabu kwa miezi 6, bila ada ya uhamisho.
Mfano ni Emmanuel Okwi alijiunga na Yanga, wakati akiwa katika mgogoro na klabu ya Etoile du Sahel ya Tunisia.
Sasa wanaojua sheria za mpira naomba wanijuze, endapo Fei atakata rufaa CAS, atapewa kibali Cha kuchezea klabu nyingine ili kulinda kipaji chake wakati ansubiria maamuzi ya kesi yake?
Kama ni hivyo ina maana Azam wanaweza mpata bure kwa miezi 6.
Hafahamu ndo maana kauliza.Kitu ambacho hafahamu mleta Mada FIFA Ili mpatia kibali Cha muda Emanuel Okwi kwakua mkataba wake na Etoile du Sahel ya Tunisia kuvunjika. Mkataba ulivunjika baada ya Etoile du Sahel kushindwa kumlipa Okwi mshahara wa miezi mitatu.
FIFA wali mruhusu Okwi kuchezea Sports club villa Kwa kibali maalum wakati mgogoro wao ukitafutiwa ufumbuzi.
Feisal haidai Yanga chochote na matakwa ya mkataba yanatekelezwa na Yanga bila tatizo.
Mtoto mpumbavu ni mzigo Kwa mamaye.Siku za nyuma tumeona wachezaji wenye migogoro na klabu zao, wakati mgogoro unasubiri kufanyiwa maamuzi, mchezaji anaruhusiwa kujiunga na klabu kwa miezi 6, bila ada ya uhamisho.
Mfano ni Emmanuel Okwi alijiunga na Yanga, wakati akiwa katika mgogoro na klabu ya Etoile du Sahel ya Tunisia.
Sasa wanaojua sheria za mpira naomba wanijuze, endapo Fei atakata rufaa CAS, atapewa kibali Cha kuchezea klabu nyingine ili kulinda kipaji chake wakati ansubiria maamuzi ya kesi yake?
Kama ni hivyo ina maana Azam wanaweza mpata bure kwa miezi 6.
Bush lawyer huchoki bado unapambania kombe la Feisal. Komaa kaza utatoboa LawyerKipengele namba 14.7 kwenye mkataba kati ya Fei na Utopolo kinamruhusu mchezaji kuvunja mkataba kama alivyofanya Fei, hii ni kutoka kwa Fatma Karume aliyeuona mkataba husika.
Hizi zote ni figisu kati ya TFF, utopolo, na yule mwanasiasa mmiliki wa Singida BS.
Nenda sasa ukaongeze idadi ya mawakili wa kumtetea huyo dogo. Kulialia tu humu jukwaani, hakusaidii chochote.Kipengele namba 14.7 kwenye mkataba kati ya Fei na Utopolo kinamruhusu mchezaji kuvunja mkataba kama alivyofanya Fei, hii ni kutoka kwa Fatma Karume aliyeuona mkataba husika.
Hizi zote ni figisu kati ya TFF, utopolo, na yule mwanasiasa mmiliki wa Singida BS.