Hizo kontena hebu tembee asokoni kariakoo nazionaga lakini sijawahi kuulizia bei yakekaka bujibuji umeikubali avatar yangu nini?
Bado unauza ? Price ikojeninaweza kuku-supply food grade paper box ... PE coated inside
kwa bei poa, this is new product .... hunahaja kumwekea mteja take away food kwenye mfuko wa rambo ... pia aluminium foil ni expensive na siyo environmental friendly .... pia ninayo mifuko ya karatasi yenye kuzungushiwa aluminium foil ndani yake (crafted paper bags laminated with aluminium foil) kwa ajili ya hot take away foods
tuwasiliane kwa kubadilishana mawazo
View attachment 79636