Je, foleni Dar es Salaam imepungua?

Je, foleni Dar es Salaam imepungua?

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Wadau naomba kuuliza hili swali kwa wakazi wa Dar, nataka kufahamu kama kuna improvemet yoyote kwenye kupunguza foleni hapa Dar.

Mimi binafsi naona kama kuna ahueni tofauti na Zamani, maana unaweza kutoka Buza Sigara kwenda Kariakoo na ukatumia Dk 20. Lakini zamani ilikuwa unatumia kama saa moja na nusu. Foleni ya Tazara na pale Ilala njia ya Buguruni zilikuwa zinasumbua sana.

Sijui kwa wakazi wa maeneo mengine vipi?
 
Unasahau kwamba bwana yule alisema watakao baki dar ni wanaume wachache ..basi ndio hivyo sisi tumekwisha kurudi shamba sahivi
 
Back
Top Bottom