Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Umeenda manispaa umepimiwa kiwanja kwenye mradi na hakina mgogoro baada ya hapo unakabidhiwa fomu ya kupokea kiwanja ambayo ina details zifuatazo:
1. Jina la mmiliki
2. Ukubwa kwa sqm
3. Mahali kilipo (block ABC)
4. Aina ya matumizi kama ni makazi pekee au makazi na biashara.
Na mwisho pale chini inaandikwa deni unalodaiwa in terms of square meters ambapo ukimultiply kwa thamani ya square meter moja utapata kiasi unachodaiwa.
Mfano kama kiwanja chako kina square meter 2500 basi unazidisha mara 5000 ambapo ndio gharama ya squre meter moja hapa utapata kiasi unachodaiwa na serikali kulipia kiwanja chako.
SWALI
Je, ukipata hiyo fomu unatakiwa kulipia ndani ya muda gani kwa control number? Mpaka deni liishe? Unaruhusiwa kulipa kidogokidogo lakini sheria inasemaje kuhusu ukomo wa malipo?