Regent
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 2,306
- 3,569
Wanasema kuwa funza anatokana na inzi kutaga mayai kwenye chakula au kitu kinachooza.
Swali
Je, tukimchukua mtu aliye hai tukamfungia kwenye chumba/Cabin isiyopitisha kitu chochote yule mtu akafa huyu mtu hatotoa funza?
Au
Tukikata kipande cha nyama ya ng'ombe hapohapo tukakifungia kwenye Cabin isiyopitisha Nzi, je kitaoza bila kutoa funza?