Richard JF-Expert Member Joined Oct 23, 2006 Posts 15,692 Reaction score 23,038 Mar 26, 2008 #1 Mimi nina wasiwasi na kiongozi huyu kwamba nini hasa lengo lake, labda la kuwa raisi wa Afrika au mlezi kwani kufikia hatua ya kuwa kila siku anaangalia ramani ya Afika ni jambo la kushangaza. Gadaffi na ramani ya Afrika. Je kuna mwenye mawazo tofauti?
Mimi nina wasiwasi na kiongozi huyu kwamba nini hasa lengo lake, labda la kuwa raisi wa Afrika au mlezi kwani kufikia hatua ya kuwa kila siku anaangalia ramani ya Afika ni jambo la kushangaza. Gadaffi na ramani ya Afrika. Je kuna mwenye mawazo tofauti?
mbarikiwa JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 505 Reaction score 39 Mar 26, 2008 #2 Wana JF wenzangu, huyu Gadaffi ni Mjumbe wa Shetani hivyo muangalieni sana; Yaani Gadafi ni JINI.
ben milazo JF-Expert Member Joined Jan 18, 2015 Posts 995 Reaction score 674 Jan 10, 2019 #4 zoezi la ufukuaji makaburi linaendelea tunaomba ushirikiano wenu wakuu
B bestmale JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 3,067 Reaction score 1,805 Jan 10, 2019 #5 ben milazo said: zoezi la ufukuaji makaburi linaendelea tunaomba ushirikiano wenu wakuu Click to expand... Mkuu wew utakuwa ni mchawi Sent using Jamii Forums mobile app
ben milazo said: zoezi la ufukuaji makaburi linaendelea tunaomba ushirikiano wenu wakuu Click to expand... Mkuu wew utakuwa ni mchawi Sent using Jamii Forums mobile app
ben milazo JF-Expert Member Joined Jan 18, 2015 Posts 995 Reaction score 674 Jan 10, 2019 #6 bestmale said: Mkuu wew utakuwa ni mchawi Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... mkuu kuna adi makaburi ya makoloni#watoto wazuri mkiachana linakuwa kaburi miaka ikipita unarusiwa kufukua #kupasha kiporo
bestmale said: Mkuu wew utakuwa ni mchawi Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... mkuu kuna adi makaburi ya makoloni#watoto wazuri mkiachana linakuwa kaburi miaka ikipita unarusiwa kufukua #kupasha kiporo
Ambokile Amanzi JF-Expert Member Joined Dec 12, 2018 Posts 965 Reaction score 1,333 Jan 10, 2019 #7 Maskini Gadafi... kafa na ndoto yake! Sent using Jamii Forums mobile app