Je, gari aina ya Carina T.I inaweza kuleta faida ikiingia kwenye biashara ya Ubber?

Adimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
661
Reaction score
297

Habarini wakuu!

Kwa wazoefu kwenye biashara ya uber, gari aina ya Carina T.I cc 1490 namba C je inaweza kuleta faida ikiingia kwenye biashara ya uber? na je hii gari wanaichukulia kama uber ya gari kubwa au ya kawaida?


Ahsanteni.
 
Kama yako unafanya na unapata pesa kama ya kupeleka hesabu itakucost kidogo au inategemea na malipo ya hesabu
 
Nunua Kirikuu 20,000/day nikawaida tu. Achana na Uber hasara tuu.
 
Hizo gari hazitakiwi na Uber masharti yao ni gari kuanzia mwaka 2003 kuendelea carina zipo chini ya mwaka huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…