Je, gari la mizigo likiandikwa "transit goods" huwa inamaanisha nini?

Joined
Jun 1, 2021
Posts
99
Reaction score
104
Je, gari la mizigo likiandikwa "transit goods" huwa inamaanisha nini?

Kuna watu wengi hawafahamu. Itabidi kupitia JamiiForums wapate nafasi ya kujifunza.

Wenye majibu sahihi tafadhali tupatieni tuelimike kwa pamoja.

Nini maana ya gari hizi kuandikwa transit goods au goods on transit?

images (5).jpeg
 
Mizigo inayopitishwa nchi moja kwenda nyingine.

Mfano mzigo umeagizwa kutoka China kwenda Burundi kupitia bandari ya Dar es Salaam ukiwa safarini kabla haujafika kwa alieagiza unakuwa kwenye transit.

Kwa lugha rahisi transist goods ni bidhaa zilizoko safarini. Yani bado hazijafika zilipokusudiwa.
 
Je, gari la mizigo likiandikwa "transit goods" huwa inamaanisha nini?

Kuna watu wengi hawafahamu. Itabidi kupitia JamiiForums wapate nafasi ya kujifunza.

Wenye majibu sahihi tafadhali tupatieni tuelimike kwa pamoja.

Nini maana ya gari hizi kuandikwa transit goods au goods on transit?

View attachment 1950724
Linasafirisha mzigo toka nchi moja kwenda nyingine...
 
Back
Top Bottom