World Logistics Company
Member
- Jun 1, 2021
- 99
- 104
Je, gari la mizigo likiandikwa "transit goods" huwa inamaanisha nini?
Kuna watu wengi hawafahamu. Itabidi kupitia JamiiForums wapate nafasi ya kujifunza.
Wenye majibu sahihi tafadhali tupatieni tuelimike kwa pamoja.
Nini maana ya gari hizi kuandikwa transit goods au goods on transit?
View attachment 1950727
Nadhani I naweza kuwa na bandari, lakini wakaamua mizigo yao mwingine ipitie nchi jirani ambayo kwayo ni rahisi mizigo kufika sehemu ya nchi yenu ambako ni mbali kupita bandarini kwenu. Mfano mizigo ya Carbo Delgado Mozambique kupita Mtwara Tanzania . Au mizigo ya Moshi na Arusha kupita Mombasa Kenya. Maelezo yako mengine yote yako sawa.Ni bidhaa (zigo) (mfano mafuta/vifaa/etc) zinazotakiwa kupita ardhi miliki ya nchi moja kwenda nchi nyingine zisizokuwa na bidhaa husika pia zisizokuwa na access to bandari
Sijaambulia loloteninanvyjua sisi tunavyomaanisha ni kwamba mzigo unaweza kuwa transit ukatumia multimodal trasnport aina tofauti za usafiri ila wa kwanza ndo ukahesabika katika hesabu gari likawa transit tu mafno umeshusha containers 4 mombasa then then ukachukua gari labda nne kila gari ikabeba container moja zikapitia horohoro sasa zile clearing zitafanyia horohoro kama kawa TZHO ila watatumia bill of lading ile ya shipping line waliletea mzigo kule mombasa za sio Road consignmen note ya hizo gari na zile gari zote zitakuwa na kibali kimoja maana wanatransit tu ata permit zote za kupitisha mzigo ni moja wnajumuisha kule mwanzo ilipotoka ambapo ililetwa na meli mpaka mombasa
izo transit goods zinatoka na ugumu ma kurahisishwa mambo ya customs
Goods in transit from one country to another contrary to local goodsSijaambulia lolote
Yaani izo gari zimetumika kuhamisha mzigo kutoka nchi nyingine kwenda nyingine kurahisishwa mzigo ufike kwa haraka mfano mwingine unajua bandari ya DAR ina foleni sana mzigo utachukua nda kutoka au kuna prolonged process za kutoa kutoka forodha wewe unaotoa mfano dubai mpaka bandari ya mombasa then unautansit huo mzigo kwa kutumia izo gari ambazo zimeandikwa transit goods mpaka dar tenaSijaambulia lolote
my take izo gari zimapewaga sana kipaumbele unakuta gari nne zimetumia documents za nne moja hata kupita fasta zinaruhusiwa kwa pamojaYaani izo gari zimetumika kuhamisha mzigo kutoka nchi nyingine kwenda nyingine kurahisishwa mzigo ufike kwa haraka mfano mwingine unajua bandari ya DAR ina foleni sana mzigo utachukua nda kutoka au kuna prolonged process za kutoa kutoka forodha wewe unaotoa mfano dubai mpaka bandari ya mombasa then unautansit huo mzigo kwa kutumia izo gari ambazo zimeandikwa transit goods mpaka dar tena
sasa hapo katika documents zako japo umeingiza Tanzania kwa gari lakini bado utatumia zile bill of lading ikionyesha mzigo ulisafirisshwa kwa meli izo gari ni transit tu kwa nn unafanya ivyo ni kwamba ili upite tena labda horohoro utafanya clearing so zitahitajika izo nyaraka
Transit goods mean the goods that are shipped from abroad, transported through land routes within China's territory, and shipped to overseas successively.
Nimegugoo
Ni lazima nchi zinakopita kusiwe na bidhaa husika?Ni bidhaa (zigo) (mfano mafuta/vifaa/etc) zinazotakiwa kupita ardhi miliki ya nchi moja kwenda nchi nyingine zisizokuwa na bidhaa husika pia zisizokuwa na access to bandari
Mkuu,
Transit Goods ni maneno yaliyoandikwa kwenye
gari zinazofanya kazi za kubeba mizigo kutoka
Tanzania kupeleka nchi zingine, kama DRC,
Zambia, Rwanda... N.k
Kuna taratibu za kufuatwa ili gari yako iweze
kuwekwa hayo maneno, ukikimalisha hizo Taratibu
TRA wanakupa C28 ambayo ni kibali cha kupiga
hizo kazi....
Sasa ole wako upakie mzigo wa ndani ya nchi halafu gari yako imesajiliwa kufanya hizo kazi
Faini yake.... Utakimbia gari...
Shukrani
Acheni uongo..
Transit Goods maana yake huo mzigo haushushwi ndani ya nchi yan Tz..
thats why huwezi kukuta gari imeandikwa transit good na inashisha mzigo ndani ya nchi..
Nadhani I naweza kuwa na bandari, lakini wakaamua mizigo yao mwingine ipitie nchi jirani ambayo kwayo ni rahisi mizigo kufika sehemu ya nchi yenu ambako ni mbali kupita bandarini kwenu. Mfano mizigo ya Carbo Delgado Mozambique kupita Mtwara Tanzania . Au mizigo ya Moshi na Arusha kupita Mombasa Kenya. Maelezo yako mengine yote yako sawa.
Pamoja na yote mliyoeleza, tupate wadhamini kidogo kutoka kwa watu wa transit!View attachment 1951127
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Hao ndiyo wakali /wanazi wa transit.. they enjoy the passion of trucking..Hii ni hatari sana kujaribu [emoji28]