Mzigo wowote unaotoka A kwenda C Kupitia B unakua ni Transit Goods mfano mzigo unatoka Kongo kwenda China Kupitia Tanzania ni Transit goods(Sisi Tanzania tutaita Goods in Transit ila wao wakongo wataita Export na china ataita Import) kuna vibali unalipia kwa Tanzania gari kuwa Transit kuna Kibali kinaitwa C28 unalipia $200 kwa mwaka.(Wether umekikata January au October 2021 validity yake mwisho ni december 2021).
Mzigo unatoka zambia kwenda Rwanda kupitia Tanzania either kwa Barababara au Kwa maji(Lake Tanganyika) ni Transit Goods.