Je, gearbest ni salama kwa manunuzi ya bidhaa?

Rockefeller

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2016
Posts
1,209
Reaction score
2,243
Habari zenu wakuu.

Napenda kuuliza kama ni salama na vizuri kunua bidhaa kwenye tovuti/application ya gearbest. Kwa mwenye ujuzi na uzoefu nayo anisaidie. Na kama kuna utaratibu wowote tujuzane tafadhali.

Natanguliza shukrani.
 
Shukrani boss
Hakikisha unachagua Registered Air Mail kama njia ya usafirishaji wakati unafanya checkout
- Utapewa tracking number
- Mzigo utafika ndani ya wiki 3 hadi 4
- Epuka Free Shipping - Delay huwa ni kubwa mzigo waweza chukua wiki tano (5) au zaidi.
 
Sawa sawa mkuu

Utajuaje ni registered mkuu, naomba maelezo kwa picha.
 
1544277645824.png
 
Back
Top Bottom