Rockefeller
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,209
- 2,243
Ndio ni salama, na bidhaa zitakufikia.Napenda kuuliza kama ni salama na vizuri kunua bidhaa kwenye tovuti/application ya gearbest.
Hakikisha unachagua Registered Air Mail kama njia ya usafirishaji wakati unafanya checkoutShukrani boss
Hakikisha unachagua Registered Air Mail kama njia ya usafirishaji wakati unafanya checkout
- Utapewa tracking number
- Mzigo utafika ndani ya wiki 3 hadi 4
- Epuka Free Shipping - Delay huwa ni kubwa mzigo waweza chukua wiki tano (5) au zaidi.
Utajuaje ni registered mkuu, naomba maelezo kwa picha.Hakikisha unachagua Registered Air Mail kama njia ya usafirishaji wakati unafanya checkout
- Utapewa tracking number
- Mzigo utafika ndani ya wiki 3 hadi 4
- Epuka Free Shipping - Delay huwa ni kubwa mzigo waweza chukua wiki tano (5) au zaidi.
Utajuaje ni registered mkuu, naomba maelezo kwa picha.