Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Ndugu zanguni naombwa nifahamishwe je Gerson Msigwa aliyewahi kuwa mbunge wa Iringa 2010--2020 na Ndugu Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali, msemaji wa rais kwa Sasa ni Ndugu?
Kama ni Ndugu, Je ni ndugu wa namna gani? Ni ndugu kwa maana wa damu(baba moja mama moja) Ni ndugu kwa maana mtoto wa baba mkubwa na mdogo au ni Ndugu wa ukoo tu.
Natamani nijue hili ili nitatue jambo lililo moyoni mwangu, kwa maana kama ni ndugu wanawezaje kumaintain mmoja kufanya kazi serikarini tena akiwa karibu kabisa na Rais mwingine akiwa mpinzani aliyekuwa akipitia madhia kutoka kwa Ofisi ambayo ndugu mtu ndio anaifanyia kazi?
Kama ni Ndugu kweli wanawezaje kumaintain kwa kutokutoa siri zao, Gerson za pale jumba jeupe; Peter za pale kwa Mbowe maana ni mjumbe pindi wakikutana kama Ndugu, au kuwasiliana.
Ni maswali mengi ila kubwa kwanza naombwa nifahamishwe jambo hili tu; je hao kina Msigwa wawili ni Ndugu?
Kuuliza sio Ujinga.
Cc Zero IQ