Je, Gwajima alimshauri rafiki yake atoe rushwa?

Ngoja Bavicha waje!
Swali linatakiwa liwe ... je gwajima alishinda Kura za maoni? Kama hapana je ni maamuzi ya kumpitisha yalizingatia nn? Je hiyo ndiyo demokrasia inayohubiriwa kuwepo ccm ambapo kwenye nyama vingine haipo?
Ni sahihi kwa timu upinzani yanga/simba kuichagulia timu nyingine captain wake? Kama hapana vipi ccm waone kwamba mbowe hafai kuwa kiongozi WA chadema tu kwakuwa kamekaa muda mrefu?
Je Mangula ni kiongozi wa chama? Tangu lini? Majibu take ni lini mwana ccm alilalamika kwamba mzee huyu picha ya kupewa simu kamekaa muda mrefu madarakani na hivyo kutosha kuita huo ni ukosefu wa demokrasi ndani ya ccm na hata chadema wakalalamika?
 
Wewe tafakali yako ni ipi kutoka kwa kauli ya Gwajima?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…