Je haja inaratiba na inahusu?

Je haja inaratiba na inahusu?

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Wanajf naomba kujulishwa khs haja kubwa hv kuna umuhimu wa mtu kukamilisha ratiba hii kila siku na je kuna tatizo lolote endapo kutokana na mtu kula mlo kidogo na kutoenda haja hata siku mbili mfululizo. nawasilisha!
 
We hupendi haja? Duuh, sidhan kama kuna wajuzi ktk hili labda uende kwa dokta wa jirani na unapoish,
 
Kama hupati haja (kunya) itakuwa wewe mgonjwa.
 
We sasa n mzimu, hujui ndo starehe ya pili dunian baada ya Ila ya baba na mama
 
We sasa n mzimu, hujui ndo starehe ya pili dunian baada ya Ila ya baba na mama

wamember naomba nieleweke ni kwamba nnachohoji mi ni kuhs ratiba yake inabid ivary kwa mda kama ni baada ya masaa 12 au ni kila asubuh na max ni baada ya mda gan na si kutoenda toilet kabsa no ndio maana nikahoj kama aina ya chakula inahusika kwasabu mtu anayekula ugali wa kutosha sizani kama anafanana na aliyekula kijisahani cha chipsi ndiyo nnachohoji!
 
Back
Top Bottom