Je haki/usawa unasemaje kuhusu hili..!?

Je haki/usawa unasemaje kuhusu hili..!?

Mgodo visa

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2016
Posts
3,590
Reaction score
3,632
Tuchukulie mimi (Me) ni mtuhumiwa, ama nimekumbwa na kashfa, katika eneo langu la kazi.

Ofisi inaamua kunihita katika kamati ya Maadili kwa masikilizano.

Anakuja :-

(1) Hr observer and Prosecuter
(2) Chairperson
(3) Complainant
(4) Member
(5) Member
(6)Member
(7) Member
(8) Muakilishi chama cha wafanyakazi
(9) Hr consultant

Mtu wa kumi (10) ni mimi muhusika/mtuhumiwa katika Dai/shitaka (Mezani)

Lengo la kutaka kujua katika swali langu.

(1) Je..., ni haki ama yawezekana kumuhukumu/kusikiliza shauri la mtuhumiwa pasipo (yeye) kuwa na Muwakilishi wake...! (Mfano Mwanasheria)

(2) Je ni haki kusikilizwa na JOPO (Kundi) la watu, lisilo zingatia Usawa/Uwiano mahala pa kazi..!?

(3) Ni haki/sawa kumuhukumu, mtu unaye dhani ni Punguani wa akili...?

Naomba wale WAJUVI wa Mambo, haki za Binaadamu, haki za walemavu na wale kutoka haki za Usawa na Jinsia, kunipatia majibu/ushauri.

Karibuni wana JF, wajuzi wa Sheria...

Natanguliza shukrani. Na maswali yoyote juu ya hili.

Mimi mwanachama mwenzenu.

Sent from my SM-A500F using JamiiForums mobile app
 
kwani mkuu wewe ni Punguwani wa akili?? ilikuwaje ukatenda kosa..?

Kuwa na mwanasheria wako binafsi sio vibaya kwa mimi nijuavyo na wewe kama wewe una haki ya kusikilizwa
 
Back
Top Bottom