Je, haki za wanawake ni pamoja na kuridhishwa kingono?

Je, haki za wanawake ni pamoja na kuridhishwa kingono?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Hivi sasa katika nyakati zetu, haki za wanawake zimekuwa zikipigiwa upatu na makundi mbalimbali ya kijamii wakiongozwa na wanawake wasomi.

Wote wamekuwa wakipambana na kitu kinachoitwa mfumo dume.

Mapambano hayo ya kudai haki, yameleta maumivu kwa watu wengi wakiwemo wanaume, wanawake na watoto.

Kuachana, kutesana kwenye mapenzi, mauaji kwa sababu za wivu wa mapenzi, kutelekeza familia ili kuepuka fedheha ya kutawaliwa na mwanamke n.k

Sasa napenda kuuliza, kuridhishwa kingono, ni haki ya msingi ya mwanamke?

Nimeona wimbi kubwa la wanawake wakitafuta wapenzi nje ya mahusiano ya ndoa ili waridhishwe. Na wanaona ni haki yao ya msingi.

Je, ikitokea mume pasipo hiari yake akashindwa kumridhisha mkewe, mahakama inaweza kutoa talaka ili kuepusha migogoro isiyo ya lazima?
 
Wanaume huwa tunajisikia wanaume zaidi tukiambiwa wewe unaniridhisha, unajua kunikojoza, wewe si kibamia, nk nk nk.

Hapo ndipo mtego wa wanawake ulipo na wanatupatia kweli maana wameshajua ili bichwa la huyu liumuke ni amira ipi niweke....
 
Wanawake wa JF wakiona huu uzi😁😁😁
images-19.jpg
 
Na kupokonyonywa mikunjo ya mawimbi mawimbi iwe ni haki yao pia, wakubali vyote sasa
 
Back
Top Bottom