Je,Hakuna Kifungu katika sheria unachoweza kumshitaki DPP kwa kufungua mashitaka ya uongo?

KennedyMmari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2012
Posts
979
Reaction score
187
Nimekuwa nikiangalia watu wengi wakifunguliwa mashitaka ya jinai na baadae Mahakama kuwasafisha, Mfano hai kabisa ni mashitaka ya Lwakatare na Zombe. Hivi hairuhusiwi Kumshitaki DPP kwa kufungua mashitaka ya kizushi kwa raia wasio na hatia??
 
Hakuna kifungu dhidi ya Serikali kinachohusu "malicious prosecution" ila kwa watu binafsi, eg kesi zinazoenda mahakama za mwanzo kipo!
 
wengi wangekuwa wamemshitaki DPP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…