Naomba JamiiForums itazame yafuatayo.
Je, ni sahihi kwa mkandarasi kutaka kupunguza kilomita za barabara kwa kuchepusha barabara karibu na vyanzo maji eneo la Kitulila huku akijua kufanya hivyo kunahatarisha vyanzo hivyo kwa makusudi.Je maisha ya wakazi yahatarishwe kwa faida ya Mchina na watumishi wachache wajanja wajanja tu.
Je, ikiwa kilomita zitapunguzwa kutoka 50 hadi 48 au 49 kwa maamuzi hayo serikali itanufaikaje au fedha hizo zote almost 3bilioni watagawana wajanja wachache waliopo Tanroad,Consultant na mkandarasi?
Je, kwanini Tanroad Njombe wanaificha serikali kuhusu huo mpango wa kupunguza kilomita na kusingizia kupunguza kona huku wakijua sio kweli Huo sio ufisadi?
Je, kuhamisha barabara bila kufanya tathimini ya Mazingira kwa maksudi huo sio ukiukwaji wa sheria kwa maksudi na kutaka kuweka reheni maisha ya wakazi huku meneja Tanroad mkoa akiwa amefumbia macho hayo yote. Kwanini meneja asifukuzwe kwa kutosimamia watumishi wake na kushindwa majukumu.
Okoa maisha na fedha za umma kwa kufuatilia hili kwenye huu mradi.