britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Mwaka fulan ilimlazimu mheshimiwa mkubwa Kwenda kutoa ushahidi mahakamani kutokana na ujenzi wa nyumba ya ubalozi Ulaya , gharama zikawa mara Tatu ya uhalisia!
Nikajiuliza swali,
Kwanini sasa hapo Kenya tunapopanga kujenga jumba la ubalozi kuna mpango wa kutumia Pesa nyingi sana ! Je kwanini tusitumie Pesa chache sana na baki ikafanya mambo mengine ya msingi?
Huu ujenzi wa holela holela kupitia Wizara ya mambo ya nje uangaliwe upya
Ipo siku tutasimamishana kizimbani
Britanicca
Pia soma

- Serikali iachane na wazo la kwenda kujenga nchi za nje kwa kisingizio cha uwekezaji, tujikite kuijenga nchi yetu iwe na hadhi ya kimataifa
- January Makamba amefuta mradi wa kujenga Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa KICC na kuja na miradi ya upigaji ya kujenga magorofa nchi za nje
- Serikali Tanzania kuijenga Kenya kwa majengo pacha jijini Nairobi