Je hakuna upungufu wa nguvu za kike, kwa mwanamke?

Blank page

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2015
Posts
5,487
Reaction score
4,817
Moja kwa moja kwenye mada ni katika hali ya kutaka kujua baadhi ya mambo wakuu hivi suala la upungufu wa nguvu, lipo kwa mwanaume tuu ama kwa mwanamke pia, na kama ipo je huko hali iko vipi ama husababishwa na nini, na tofauti yake ni ipi ukilinganisha na upungufu wa nguvu za kiume, kwa mwanaume madaktari na wataalamu wa afya, mnaweza kunijuza kuhusu hili karibuni!
 
Labda kukosa hisia maana wengi kazi yao kupokea hana umuhimu wa kutumia nguvu najiwazia mwenyewe
 
Mwanamke ni hisia zaidi wala siyo nguvu za kike kwa sababu yeye ni mpokeaji na siyo mtoaji


Cc: mahondaw
 
Labda kukosa hisia maana wengi kazi yao kupokea hana umuhimu wa kutumia nguvu najiwazia mwenyewe
Inaweza kuwa, lakini nahisi nayeye anatakiwa awe na uwezo fulani kuhimili mikiki mkuu vipi hujaliona hilo?
 
Wapo mkuu wenye upungufu wa nguvu za kiume yani inatokea anakosa kabisa hisia hata umshike sijui wapi hola ,video za ngono hola ndo hvyo
 
Wapo mkuu wenye upungufu wa nguvu za kiume yani inatokea anakosa kabisa hisia hata umshike cjui wapi hola , video za ngono hola..ndo hvyo
Kiume= kike
 
Mwanamke ni hisia zaidi wala siyo nguvu za kike... kwa sababu yeye ni mpokeaji na siyo mtoaji...


Cc: mahondaw
kwenye kupokea, kweli hakuhitaji nguvu ama kiasi fulani cha uwezo kwa ajili, ya kusafirisha?
 
Biology inaweza kuwa pana zaidi mkuu, huwenda kuna wengine wanaweza kupokea zaidi ya wengine
 
Hivi hizo nguvu huwa ni zipi?!
Kwa mwanaume makala mbalimbali zinasema uwezo wa kuridhisha mwanamke katika tendo, yani kutumia muda mrefu kidogo katika tendo ukiwa katika hali ya kawaida lakini kwa mwanamke, ndo sijafahamu bado kuwa iko vp?
 
Kwa mwanaume makala mbalimbali zinasema uwezo wa kuridhisha mwanamke katika tendo, yani kutumia muda mrefu kidogo katika tendo ukiwa katika hali ya kawaida. Lakini kwa mwanamke, ndo sijafahamu bado kuwa iko vp?
Au kwa mwanamke ni vice versa ya hiyo point yako mkuu
 
ngoja nikae font pedi kwenye huu uzi nahisi naweza toka na kitu kikanisaidia mbeleni
 
Hapa itakua kiswhili

Kwa mwanamke hafanani na mwanaume ambapo kwa mwanaume tunasema erectile dysfunction wakati kwa mwanamke hakuna

Kwa mwanamke kuna kitu kinaitwa loss/decreased libido ambayo kwa mwanaume pia ipo siyo mswahili kivile lkn libido ni kama nyege , ambayo ipo kwa me& ke
Upungufu wa nguvu za kike hakuna ila kuna upungufu wa nyege
 
Nnadhani wote wanaume kwa wanawake wanaweza kupatwa na tatizo hili.Tofauti ni kwamba kwa mwanaume tatizo linajidhihirisha wazi/kirahisi zaidi tofauti na kwa wanawake.
 
Kwani hakuna wanawake humu watueleze vizur, au wanawake wa humu wanachangia Mada za nguvu za kiume tu.
 
Nimekuelewa, nadhani inaweza kuwa hivi mkuu.
 
Nnadhani wote wanaume kwa wanawake wanaweza kupatwa na tatizo hili.Tofauti ni kwamba kwa mwanaume tatizo linajidhihirisha wazi/kirahisi zaidi tofauti na kwa wanawake.
Kweli inaweza kuwa hivi mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…