Umenena vyema mkuu,,, Lakini kwenye suala la Elimu,,, Kipindi kile Elimu ilikua haba, Lakini kuna watu waliweza kutoboa, nashanga nowadays Elimu imekuwa accessible kwa urahisi, Lakini hali ndo inazidi kuwa mbaya,,, Pengine labda na mfumo wetu wa Elimu hauwaandai vyema vijana wa taifa hili.Hivi kipindi kile cha phase 01 na phase 02 (wakuu wa kaya) kipindi hakuna teknolojia, wataalam walikuwa ni wa kuhesabu, elimu haba, usafiri mtihani na mambo kibao yalikuwa magumu na bado hovyo mbona wapo walio-rise na mpaka sasa wana legacy kubwa tu ingawa wao baadhi hawapo hai tena?! Mfano Marehemu Mzee Mengi, kina mzee Khimji n.k
ACHA KULAUMU!, FANYA KAZI KWA BIDII! ZIFUATE FURSA ZILIPO!, GUNDUA FURSA MPYA MAHALI ULIPO!, NIDHAMU YA KIDOGO ULICHONACHO HATA KIKUBWA!, ENDELEA KUJIFUNZA SIKU ZOTE!
Pia kumbuka msemo ule wa "Choosen from god!"
Vijana wa sasa kazi ni kulaumu sirikali tu [emoji17]
Duni kabisa maana huna mtaji.Nilimaanisha kuwa mtu anaanza from the Scratch,, kwa mfano kutoka kwenye hali duni kabisa ya maisha.
Na matoto yetu yenyewe hayataki kusoma. Yanataka kwenda kushinda kariakoo kuuza simu... wenyewe wanaita mazoezi 😅Umenena vyema mkuu,,, Lakini kwenye suala la Elimu,,, Kipindi kile Elimu ilikua haba, Lakini kuna watu waliweza kutoboa, nashanga nowadays Elimu imekuwa accessible kwa urahisi, Lakini hali ndo inazidi kuwa mbaya,,, Pengine labda na mfumo wetu wa Elimu hauwaandai vyema vijana wa taifa hili.