Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hawachelewi kukwambia unataka kuvuruga Muungano π π πNaomba wale walioko Zanzibar watueleze hali ya upatikanaji wa Mafuta upande huo , na ikiwezekana watupe na bei kwa lita Moja , tulinganishe na Tanganyika ambaye ni Mshirika wao wa Muungano ,.
Natanguliza Shukrani .
Yapo nadhani ni 2560 kwa lita kuleNaomba wale walioko Zanzibar watueleze hali ya upatikanaji wa Mafuta upande huo , na ikiwezekana watupe na bei kwa lita Moja , tulinganishe na Tanganyika ambaye ni Mshirika wao wa Muungano ,.
Natanguliza Shukrani .
Weeeee !!!!!Yapo nadhani ni 2560 kwa lita kule
Daa!Mafuta yapo ya kutosha PETROL ltr ni tsh 2970 na DIESEL ltr ni 2843 na babadiliko ya bei hutokea kila baaada ya tareh 9
HaijalishiSasa Zanzibar uhitaji wa mafuta si inazidiwa hata na Kimji cha Katoro kilichopo Geita?
Katoro iko Tanzania na Zanzibar iko Tanzania.Sasa Zanzibar uhitaji wa mafuta si inazidiwa hata na Kimji cha Katoro kilichopo Geita?