Je, Hamza alirogwa? Jinsi wachawi wanavyo tumia roho wa mauti kuharibu hatma za maisha ya watu

Je, Hamza alirogwa? Jinsi wachawi wanavyo tumia roho wa mauti kuharibu hatma za maisha ya watu

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Awali ya yote ninatoa pole zangu za dhati kabisa kwa ndugu jamaa na marafiki walio poteza ndugu zao kwenye tukio la salender. Tukio hili lililo kinyume na utu " INHUMANITY " LIlikuwa ni tukio baya kabisa kuwahi kutokea katika ardhi ya jiji la Dar Es Salaam. Ni tukio linalo paswa kukemewa na watu wenye mapenzi mema kwa sababu nothing good can be told about cold blood killing.


Hakuna sababu yoyote ile duniani ambayo ina mpa binadamu uhalali wa kutoa uhai wa binadamu mwenzake kwa sababu uhai sio mali ya binadamu, uhai ni mali ya Mungu mwenyewe na Mungu mwenyewe amekataa kuua. " THOU SHALL NOT KILL"

First of all let me declare my interest. My religion is HUMANITY. Kwa tukio lililo tokea Salendar it was a defeat against Humanitty. Humanity was defeated. To me it was not Hamza vs The Police. It was evil vs good. It was death vs life. I am sad that at the end of the day humanity was defeated by evil.

But all in all the victory of evil over good is just for a while.

Ninapo tazama tukio la salender simuoni Hamza wala siwaoni polisi , nawaona binadamu wenzangu. Vijana wadogo wa kitanzania, ndoto zao zimekatishwa. Uhai wao umechukuliwa kikatili. Mungu wape nguvu wafiwa wote.


Mengi yamesemwa kuhusu sababu hasa iliyo mpelekea muuaji kufanya alicho kifanya but all in all anae jua sababu halisi kwanini Hamza alifanya alicho kifanya ni Hamza mwenyewe pamoja na Mwenyezi Mungu.

Katika makala yangu haya nitatoa maoni ya kiroho kuhusu tukio lililo fanywa na Hamza. Sita jikita kwenye sababu zinazo semwa na watu mbalimbali bali nitatoa maoni ya kiroho.

DISCLAIMER : I am not intending to mean that What i am writting here is fact , but rather what i am intending to explain here is nothing but just my personal opinion, based on my personal opinion , my personal experience, my personal knowledge and my personal understanding of the mode operandi of the spiritual world and how it relates which the world of the flesh or the physical world in other words

( Sikusudii kumaanisha kuwa ninacho kiandika hapa ndio uhalisia wenyewe, isipokuwa ninacho kiandika hapa ni maoni yangu binafsi, ambayo msingi wake ni uelewa wangu binafsi kuhusu ulimwengu wa rohoni, jinsi unavyo operate na jinsi unavyo husiana na ulimwengu unao onekana )

Twende kazi. Je Hamza alirogwa ? I mean sababu ya yeye kufanya alicho kifanya inaweza kuwa ni matokeo au by product ya uchawi ? Kwamba alirogwa ili afanye alicho kifanya ? Kama alirogwa ni nani ali mroga ? Na aatakuwa alifanya hivyo kwa sababu gani ? Na kama itakuwa Hamza alirogwa , huyo mtu aliye mroga Hamza atakuwa ana taka ku achieve kitu gani ?
Fuatana nami hadi mwisho wa makala haya.




Ukimuuliza mlokole anae sali kwenye makanisa ya watu wanao julikana kama mitume na manabii ni kitu gani kilimfanya Hamza afanye tukio alilo lifanya , without a doubt mlokole huyo atakujibu kwamba Hamza alifanya tukio hilo kwa sababu alipandwa na PEPO LA MAUTI au ROHO YA MAUTI.

The same way ukimuuliza muislamu swala tano anaweza kukujibu kwamba Hamza wakati Hamza anafanya tukio hilo alikuwa amepandwa na jinni wa shari, jinni wa kisheitwani, jini Afriti au jinni wa mauaji, whichever comes first in his mind.

Ukimuuliza muumini wa dini ya kiyahudi ( JUDAISM ) anaweza kukujibu kwamba wakati Hamza anafanya tukio hilo alikuwa amepandwa na ROHO MUOVU KUTOKA KWA BWANA ( 1 Samweli 16:14-23 )

Muumini wa Freemasonry anaweza kukwambia kwamba wakati Hamza anafanya tukio hilo,. he was acting in the strength of the evil part of his brain.

Ukimuuliza mswahili/mshirikina/mchawi/ au mpiga tunguli, anaweza kukujibu ya kwamba, Hamza alifanya tukio hilo kwa sababu alirogwa ( Huu ndio msingi wa makala yangu ya leo )

Ukimuuliza mwana sheria anaweza kukujibu ya kwamba wakati Hamza anafanya tukio hilo, he was insane. His brain altered its original position. So his actions were guided by the wrong part of his brian or the bad part of his brain.

Mwanasaikolojia anaweza kukwambia kuwa wakati Hamza anafanya tukio hilo alikuwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo. His mind was not okay. He was not acting right.

ALL IN ALL WAKATI HAMZA ANATEKELEZA MAUAJI YAKE HAYO, THE RIGHT PART OF HIS BRAIN WAS LEFT AND THE LEFT PART OF HIS BRAIN WAS NOT RIGHT.

Back to the point ( Haya ni maswali yanayo weza kuulizwa katika mahakama ya kiroho )

1. Je kuna uwezekano kwamba Hamza alifanya tukio lile kwa sababu alikuwa amerogwa ?


Jibu ni ndio upo uwezekano mkubwa kwamba alicho kifanya Hamza alikifanya kwa sababu alikuwa amerogwa .

2. Kwa nini mshirikina anaweza kuamini kwamba huenda Hamza alifanya alicho kifanya kwa sababu alikuwa amerogwa ?

Jibu: Kwa sababu huwa inatokea mara nyingi katika jamii. Mtu anaweza kurogwa afe halafu uchawi ukapitia kwenye tukio. Tukio hilo linaweza kuwa ajali, ugomvi nakadhalika.


3. Je anaweza kuwa amerogwa na nani ?

Jibu : watu anao fanya nao biashara.

4. Nini inaweza kuwa sababu ya wao kumroga ?

Kafara



5. Kama ni kafara kwanini alienda kufanya tukio alilo lifanya na isiwe afe ghafla au kwa kuugua ugonjwa usio julikana usio kubali dawa na hatimaye kufariki dunia ?

Jibu : Wachawi wanapo mroga mtu, huwa wanatengeneza kitu kinacho julikana kama kanzu ya yusufu, wanasema wanamvesha mtu kanzu ya Yusufu. Mfano wake ni kama ndugu wa Yusufu kwenye maandik. Ndugu wa Yusufu walipo muuza ndugu yao Yusufu utumwani waliulizana watamwambiaje baba yao kuhusu the where about of his son? Jibu likawa watamwambia kwamba Yusufu ameliwa na Simba., Swali la pili je kitu gani kitamfanya baba Yusufu aamini kwamba kijana wake ameliwa na Simba ? Jibu ni chukua kanzu yake, ichane chane, chukua kondoo chinja, damu paka kwenye hiyo kanzu. Yakobo alipo ona ile kanzu ya mtoto wake mwenyewe, imechanwa chanwa na imetapakaa damu, akaamini kweli mtoto wake Yusufu ame uwawa na Simba lakini kumbe kulikuwa na ukweli mbadala mwinginge kwamba Yusufu alikuwa ame uzwa utumwani.

Hekima hii hii ya kisheitwani hutumiwa na wachawi pia, they will always dress the scene in order to create some distraction. Mkusudiwa atatupiwa jini litamsukuma kufanya jambo fulani halafu kupitia jambo hilo mtu huyo atafariki., jinni laweza kumvuta mtu baharini kuogelea kisha akazama na kufa,. laweza kumsukuma kwenye ugomvi, nakadhalika.


6. Kama sababu ni kafara sasa ni kwanini wamtoe yeye kafara na sio mwingine ?

Jibu : Sababu inaweza kuwa ile ile ambayo ndugu wa Yusufu walimtoa kafara ndugu yao. Yusufu alitolewa na nduguze kwa sababu nyota yake ilikuwa kubwa kuliko nyota za nduguze hao. UNAWEZA KUSEMA HAMZA NYOTA YAKE ILIKUWA KUBWA KULIKO NYOTA YA NDUGU ZAKE KWA KUTAZAMA MAONI YA WATU BAADA YA KIFO CHAKE. Hamza amekuwa maarufu sana baada ya kifo chake. Pamoja na kwamba tukio alilo lifanya lilikuwa tukio ovu na baya sana lakini still bado mitandaoni kuna kundi la watu wana mzungumzia vizuri kana kwamba alicho kifanya ni kitu kizuri. Hata taswira ya kifo chake inaweza kufanana na aina ya vifo ambavyo vinatajwa kufanana na kifo cha Samson wa kwenye Biblia., JUDGES 16:30 " SO THE DEAD WHICH HE SLEW AT HIS DEATH, WERE MORE THAN THEY WHICH HE SLEW IN HIS ENTIRE LIFE " Hakuna taarifa zozote kama endapo Hamza aliwahi kufanya mauaji ya mtu yoyote before, so tunaweza ku assume kwamba kabla ya tukio la Salender Hamza hakuwahi kumuua mtu yoyote, lakini siku hiyo ya tukio ambayo ndio siku ya kufa kwake, aliua watu wanne kama inavyo ripotiwa. So kifo chake kina fit kwa kiasi fulani kwenye narration ya andiko hilo la WAAMUZI 16:30.

Je inawezekana alitolewa kafara ili biashara isimame si umesikia mwananchi wameandika jamaa alikuwa ana jishughulisha na uchimbaji madini kupitia mgodi wa Wana familia ambao wali urithi kwa baba yao

Itaendelea
 
Wachawi wakitaka kukuchukua huwa wanakutumia jinni . Jinni huapishwa kwa damu kufanya kazi hiyo. Jinni hu mstudy mtu kujua weakness zake na strength zake. Jinni hu mstudy mhusika kujua Ana vitu gani ambavyo vinaweza kumsaidia kufanya kazi yake kwa mfano kama wewe ni dereva jinn anaweza kukushawishi unywe pombe Sana siku hiyo ila uendeshe gari vibaya ufanye ajali.

Jinni hutumia vitu unavyo vijua na vitu unavyo vipenda ku ku set up.

Kwa mfano wewe ni mtaalamu wa kuogelea atakuvuta beach siku hiyo halafu Kuna dogo ataenda kwenye maji marefu utaenda kumsaidia umuokoe halafu ukiwa ndani ya maji atakuzamisha.

Una penda mikundu siku hiyo atakuvuta kupitia mkundu. Demu mmoja mwenye mkundu ambae umekuwa.ukimtongoza muda mrefu atakwambia siku hiyo anataka ukakutane nae. Wewe utakuwa Tegeta na yeye atakuwa Gongo la.Mboto utaona unachelewa utapanda bodaboda ili umuwahi ukifika tazara pale jini atasababisha ajali ya bodaboda mwili wako utaharibika wachawi watachukua kivuli chako.

Siku zote watatumia vitu ambavyo wewe unaweza kuvifanya.

Kama angekuwa anaweza kupigana ngumi basi huenda siku hiyo angeenda kutembeza makalateka na labda angeuawa kwenye mapigano.

Hujasikia yule dada omba omba Alie hojiwa alisema kuna muda Hamza alikaa baharini kwa muda huku akiwa anatafakari na jasho jingi likiwa linamtoka Kisha ndio akaenda kufanya alicho kifanya Kama angekuwa mpenzi wa kuogelea huenda angeenda kuoga na mauti yangemkuta kwa kuzama
Kwahy hata kutumia silaha aliongozwa na wachawi.?
 
Mtoa uzi Subiri Ripoti ya uchunguzi,majibu tutayapata.No research no right to speak.
 
Waliorogwa ni hawa wanaotumikia chama badala ya kutumikia wananchi.Achana na Hamza shujaa wetu.
 
Depression,hasira,uchungu, vyote hivyo ni 'natural causes' zinazoweza kuelezea tukio la lile

Sidhani kama kuna haja ya ku invoke spiritual entities

Ni useless assumptions

Kama chochote kibaya kinachofanywa na binadam ni influence ya 'majini' na chochote kizuri anachofanya ni influence ya 'malaika' na chochote atakachofanya ni aidha kiwe kizuri au kibaya...

Role ya binadamu kama kiumbe chenye maamuzi binafsi (free agent) haipo

Ni sawa na kuamini sisi ni wanasesere tu
 
Hapo kwenye kurogwa mnavyosemaga na ulivyosema hapo juu "KUROGWA" kuna yule mtaalam mwingine wa ulozi anasemaga MLEMAVU HALOGEKI TENA/KUTUPIWA UCHAWI/JINNI as you put it above... as it appeared and said Hamza alikua na ulemavu wa mguu kutokana na kujirusha gorofani (they said it). Huenda this explains why alikua na viatu tofauti tofauti miguuni. So sasa mlemavu karogwaje tena?

Wachawi wakitaka kukuchukua huwa wanakutumia jinni . Jinni huapishwa kwa damu kufanya kazi hiyo. Jinni hu mstudy mtu kujua weakness zake na strength zake. Jinni hu mstudy mhusika kujua Ana vitu gani ambavyo vinaweza kumsaidia kufanya kazi yake kwa mfano kama wewe ni dereva jinn anaweza kukushawishi unywe pombe Sana siku hiyo ila uendeshe gari vibaya ufanye ajali.

Jinni hutumia vitu unavyo vijua na vitu unavyo vipenda ku ku set up.

Kwa mfano wewe ni mtaalamu wa kuogelea atakuvuta beach siku hiyo halafu Kuna dogo ataenda kwenye maji marefu utaenda kumsaidia umuokoe halafu ukiwa ndani ya maji atakuzamisha.

Una penda mikundu siku hiyo atakuvuta kupitia mkundu. Demu mmoja mwenye mkundu ambae umekuwa.ukimtongoza muda mrefu atakwambia siku hiyo anataka ukakutane nae. Wewe utakuwa Tegeta na yeye atakuwa Gongo la.Mboto utaona unachelewa utapanda bodaboda ili umuwahi ukifika tazara pale jini atasababisha ajali ya bodaboda mwili wako utaharibika wachawi watachukua kivuli chako.

Siku zote watatumia vitu ambavyo wewe unaweza kuvifanya.

Kama angekuwa anaweza kupigana ngumi basi huenda siku hiyo angeenda kutembeza makalateka na labda angeuawa kwenye mapigano.

Hujasikia yule dada omba omba Alie hojiwa alisema kuna muda Hamza alikaa baharini kwa muda huku akiwa anatafakari na jasho jingi likiwa linamtoka Kisha ndio akaenda kufanya alicho kifanya Kama angekuwa mpenzi wa kuogelea huenda angeenda kuoga na mauti yangemkuta kwa kuzama
 
Mbona hujazungumzia polisi kutenda haki ,watu masikini wana mentality za ushirikina kila mahali.Bongo zao zinawaza uchawi, uchawi, uchawi tu.
 
mtoa uzi sawa na gwajima.
watu wanazungumzia mambo ya chanjo wewe unaleta kuwa chapa 666
 
Back
Top Bottom