Je, Hamza alirogwa? Jinsi wachawi wanavyo tumia roho wa mauti kuharibu hatma za maisha ya watu

Umepoteza muda kuandika upopoma
 
Ukute hamza yuko migodini huko chunya anafukua gold huku limezikwa jitu tu
Ur the true daughter of ur father. Wewe ndo ume elewa nimeandika kitu gani. Wachawi Wana akili nyingi Sana na wanajua jinsi ya kudress tukio lionekane limesababishwa na mambo ya kawaida ili watu wa ulimwengu wa nyama wasijue kitu gani kinaendelea...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…