Mkataba unasemaje kwenye vifungu vinavyohusu utekelezaji wa mkataba yaani performance clause?Niliingia mkataba na Kamati ya ujenzi kwa niaba ya halimashauri wa kujenga wodi ya wazazi kwenye kituo cha afya. Mkataba ulikuwa nijenge jengo kwa miezi mitatu.
Mimi kazi yangu ilikuwa kujenga na wao Kamati walete vifaa na kunilipa labour charge.
Sasa kazi imesimama ni mwezi wa tisa sasa, sababu hawaleti vifaa site, na kunilipa malipo yaliyobakia hawataki wanasema mpaka nimalize kazi, huku vifaa hawaleti.
Hapa unatakiwa kufanya nini?
Jukumu langu lilikuwa kujenga kama local fundi na wao walete vifaa.Mkataba wa utekelezaji miezi mitatu.Mkataba unasemaje kwenye vifungu vinavyohusu utekelezaji wa mkataba yaani performance clause?
Rejea kwanza mkataba.
Kama wamekiuka unaweza kwenda kushitaki kwa kukiuka mkataba, ukiomba watekeleze mkataba ama wakulipe kwa kadri ulivyofanya n.kJukumu langu lilikuwa kujenga kama local fundi na wao walete vifaa.Mkataba wa utekelezaji miezi mitatu.