Habari za kazi wana JF?Nina Babu yangu amestaafu kazi tarehe1/12/2009,akiwa idara ya maji Tabora mjini.Mpaka leo bado hajalipwa malipo yake ya kuustaafu.Kila kinchohitajika tayari ameshapeleka.Sasa idara ya maji Daresalaam wanasema faili hawalioni wakati mwezi wa 4 mwaka 2010 waliliona wakampa na barua ya kustaafu.Nimeamua kuwaambia wataalamu wa sheria ili niweze kupata kwa kuanzia.Mzee anaishi kwa shida sana wakati haki yake inazungushwa na wajanja wachache!
Nawasilisha mada.