Habari ya mchana ndugu zangu. Nimekuwa nikitembea katika mitandao kutafiti kilimo cha machungwa.
Huko Kenya nimeona kuna mbegu ya Africa kusini wameitumia inafanya vizuri inaitwa CLANOR. Je, hapa Tanzania hii mbegu ipo? Kama kuna mtu anaifahamu naomba anisaidie nichukue chache nifanyie majaribio kama itakubali katika eneo langu.
Ahsanteni. Nawasilisha.