Je, Hapa Walimu tunaibiwa au?

Je, Hapa Walimu tunaibiwa au?

MUFINDI BOY

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2013
Posts
241
Reaction score
59
Hela ya mwalimu kujikimu kwa wilaya ya sumbawanga vijijini tumeambiwa ni
shahada= elfu 35@day
dip&cert= elfu 25@day
je ni sahihi?
 
Ina maana tamisemi hawajalifafanua hili jambo?maafisa wengine ni wezi sana.
 
Du! Ngoja ntakujuza huku kwetu watatupa sh ngap !
 
Hela ya mwalimu kujikimu kwa wilaya ya sumbawanga vijijini tumeambiwa ni
shahada= elfu 35@day
dip&cert= elfu 25@day
je ni sahihi?

Ngoja tukufanyie utafiti kama wamewaibia au ni sawa na wamewalipa za siku ngapi?
 
Back
Top Bottom