Je, hapo ulipo kuna dalili zozote za kimbunga Jobo!

Je, hapo ulipo kuna dalili zozote za kimbunga Jobo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nipo Pwani ya Kawe na hali ni tulivu kabisa wanajamii wakiendelea na mishe zao.

Tupe taarifa hapo ulipo kama kuna dalili zozote za Jobo kuibuka.

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Kazi Iendelee!
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Nachoomba Mungu atuepushe na hiyo Storm basi sio muda wa siasa huu..
 
Kimbunga JOBO ni propaganda za mabeberu ili msichape kazi, nasema uongo ndugu zangu? [emoji16]
 
Jobo atakuwa anakusanya nguvu.
Ila Huku kumetulia
IMG_20210425_101016518.jpg
 
Back
Top Bottom