johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Haya maswali unatuuliza hata sisi ambao tupo huku Igunga tunatafuna supu ya kuku?Nipo Pwani ya Kawe na hali ni tulivu kabisa wanajamii wakiendelea na mishe zao.
Tupe taarifa hapo ulipo kama kuna dalili zozote za Jobo kuibuka.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Kazi Iendelee!
Mkuu nyie hamuhusiki subirini tutawahamishia Morogoro kwa Rostam Aziz kipenzi chenu!Haya maswali unatuuliza hata sisi ambao tupo huku Igunga tunatafuna supu ya kuku?
Kila kijiwe ukipita wanashangilia Kama wao ni watusiChadema na Jobo wapi na wapi bwashee?!
Yan tabora kwa kuku jamani Yan nimepavulia nguoHaya maswali unatuuliza hata sisi ambao tupo huku Igunga tunatafuna supu ya kuku?
Mungu ni mwema bwashee!Kigamboni hapa Navy hakuna dalili yoyote ya kimbunga wala kikaragosi
Kigamboni navy ndo mkoa gani?Kigamboni hapa Navy hakuna dalili yoyote ya kimbunga wala kikaragosi
The Jobo Cyclone has fanished. I think we are going to be safe.Nipo Pwani ya Kawe na hali ni tulivu kabisa wanajamii wakiendelea na mishe zao.
Tupe taarifa hapo ulipo kama kuna dalili zozote za Jobo kuibuka.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Kazi Iendelee!
Sisi tunatafuna, habari za Jobo ni kutuchanganyaYan tabora kwa kuku jamani Yan nimepavulia nguo