Nimeona makada mbalimbali wa CCM wakiwemo wasanii wakiripotiwa kuchukua fomu za ubunge katika majimbo mbalimbali na viti maalumu.
Katika wasanii ambao nilitarajia kukutana na picha ama taarifa yake ya kuchukua fomu ni Harmonize kwa kuwa alikuwa ameweka wazi nia hiyo toka Rais Magufuli alipomchomekea swala la ubunge wa Tandahimba huko Mtwara.
Je, huu ukimya ni kwamba amepotezea au amechukua fomu kimyakimya? Wanatandahimba tuambieni.