Je, Harmonize na Kajala wamebwagana au ni kiki?

Je, Harmonize na Kajala wamebwagana au ni kiki?

Tina

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2007
Posts
572
Reaction score
581
Kunako mitaa ya Instagram Wasanii wameweka status tata katika akaunti zao.

Harmonize ameweka haya 👇🏾

E3ED2734-D7DA-41FA-882C-BD9DCC73D7C7.jpeg

E7B87858-0141-4A83-BFA8-0C444EBB3E3C.jpeg


Huku Kajala akiweka haya 👇🏾

C8BB2883-E452-45CA-AC5C-2E84DAAC980F.jpeg

80AF7553-754B-4486-BC7D-D102BD44971A.jpeg

4D544102-D02A-46C2-ACDD-CDC1EBA03111.jpeg
 
Ngoja niliweke jina la Diamond Platnumz hapa watu waje kuchangia. Maana watu wanampotezea mmakonde kama hawajui anatafuta attention zao.

Kiki aliziweza Diamond tu jaman watu tulikuwa mpaka tunakesha [emoji3059][emoji3059]
Naona Kuna mambo mawili hapa

Ku mute issue ya mondi kufikisha 70m kwa albam yake ya first of all

Au mmakonde anataka kutoa hit???...

Au both
 
Ngoja niliweke jina la Diamond Platnumz hapa watu waje kuchangia. Maana watu wanampotezea mmakonde kama hawajui anatafuta attention zao.

Kiki aliziweza Diamond tu jaman watu tulikuwa mpaka tunakesha [emoji3059][emoji3059]

mmakonde harmo au mmakonde mwingine aliyechuniwa[emoji13]
 
Nimeweka jina la Diamond thread ipate wachangiaji na kweli mmekuja... enzi diamond anatupa drama za zari na tanasha na wema sijui kama zitaweza kujirudia huyu mtu mfupi naona anatumia nguvu nyingi bila mafanikio nobody cares
wewe sio tu mpenzi wa Diamond ni hater wa Harmonise,unaweza kumpenda Diamond bila kumchukia Harmonise..Nimeona thread nyingi sana una chuki na Harmonise. Pengine maskini hata hajui kama unaishi duniani
 
Harmo hakuwah kumpenda kajala, alirudi ili apate public sympathy, maana alijiharibia mwanzon, na mwanzon alienda sabab alimtaka Paula,
Ata kama ni kick, wataachana tu maana hamna namna
 
Andunje Harmonize ni Kifurushi Cha majibu tu hamna kitu, andunje ni andunje tu akili zao ni fupi sana. Kiborironi Cha mmakonde kitamuweza kajala?!! Andunje ni andunje tu imeisha hio....
 
Back
Top Bottom