Je, Harmonize na Kajala wamebwagana au ni kiki?

Ngoja niliweke jina la Diamond Platnumz hapa watu waje kuchangia. Maana watu wanampotezea mmakonde kama hawajui anatafuta attention zao.

Kiki aliziweza Diamond tu jaman watu tulikuwa mpaka tunakesha 🥰🥰
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…