Je hatua gani stahiki zapaswa kuchukuliwa endapo mfuko wa mafao ya uzeeni utachelewesha kulipa mafao

Je hatua gani stahiki zapaswa kuchukuliwa endapo mfuko wa mafao ya uzeeni utachelewesha kulipa mafao

ALKAD MNZAVA

Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
10
Reaction score
0
Kichwa cha habari hapo juu cha husika,
Napenda kujua hatua gani naweza kuchukua juu ya Mfuko wa hifadhi ya Jamii wa Mafao ya uzeeni PSPF juu ya kuchelewesha mafao ya uzeeni.
Mimi nimependa kujulishwa na Wanasheria ni njia gani naweza kupita ili kuweza kupata mafao ya Uzeeni ya mama yangu kutoka PSPF ambayo alipaswa kupata mwezi Sept/2013 lakini badala yake mpaka leo hajapewa na amejibiwa kashfa na Wenye mamlaka huko PSPF makao makuu.
Mama ameshamaliza mlolongo wote wa kupita ili kupata mafao yake,lakini ameambulia kuambiwa Hundi bado hajasainiwa na ni miezi miwili toka neno Hundi lianze kutumiwa na PSPF.
Tafadhali naombeni msaada wa kisheria wadau.


Mnzava A.
 
Back
Top Bottom