OLS
JF-Expert Member
- Oct 12, 2019
- 426
- 685
Nimeangalia kampuni kubwa 12 za usimamizi wa bandari Duniani, nimegundua DP-World ndio kampuni pekee yenye kashfa ya Rushwa na Ukwepaji kodi duniani.
Kwa mujibu wa orodha hii, DP World ni kampuni ya nne lakini ina kashfa nyingi za Rushwa na ukwepaji kodi. Inakuwaje tunaingia mkataba na kampuni yenye kashfa?
Jana nilisikiliza twitter space ya JamiiForums na Msemaji wa Serikali alikwepa swali hili aliloulizwa na moderator na akataka Zitto alizungumzie kana kwamba yeye ni mtu msemaji wa serikali.
Kuna nini nyuma ya pazia?
Rank | Company Name | Headquarters |
| 12 | China Merchants Port Holdings Company Limited | Central Hong Kong |
| 11 | Hutchison Port Holdings Trust | Singapore |
| 10 | Hamburger Hafen und Logistik Aktiengesellschaft | Hamburg, Germany |
| 9 | International Container Terminal Services, Inc. | Manila, Philippines |
| 8 | Adani Ports and Special Economic Zone Limited | Ahmedabad, India |
| 7 | PSA International Pte Ltd | Singapore |
| 6 | A.P. Møller - Mærsk A/S | Copenhagen, Denmark |
| 5 | Shanghai International Port (Group) Co., Ltd. | Shanghai, China |
| 4 | DP World Limited | UAE |
| 3 | Evergreen Marine Corporation (Taiwan) Ltd. | Taipei, Taiwan |
| 2 | CK Hutchison Holdings Limited | Hong Kong |
| 1 | COSCO SHIPPING Holdings Co., Ltd. | Shanghai, China |