Je, hawa Africa Facts Zone wako accurate? Eti wanasema Yanga ina mashabiki milioni 35 na Simba ina mashabiki milioni 10

Ni kweli mkuu. Pia wasichojua wengi Yanga ilizidiwa kura mbili tu na klabu ya Real Madrid katika mchakato wa FIFA wa kutafuta klabu bora ya karne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…