Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Kuna member humu ndani wao ni kuleta taarifa tu na mupotea yaani hawanaga muda wa kukihusisha kwenye comments hata kama kuna hoja inawahusu, pia nje ya kuleta taarifa hawajawahi anzisha au kuchangia uzi wowote, pia ishu ya kutoa hisia hawana kabisa hawatoi iwe kupenda,kuchukizwa,kucheka,kushangazwa na sina yeyote ya hisia.
Mfano wao ni Miss Zomboko Analogia Malenga beth Sam Gidori hao ni mfano tu.
Je, ni waajiriwa wa JF au wapo sehemu ya JF staff kwa ID tofauti? Kama ni hivyo kwa nini JF hainioni na mimi inipe hiyo ajira hata buku kwa siku sawa tu.
NB: Mods mizimu imenidokeza mtafuta hii thread naombeni muiache