Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Hajachukuagwajima aamechukua
Gwajima hajachukua fomu. Fuatilia.gwajima aamechukua
Anjelina siyo Angaline1;Mh Mohammed Mchengerwa
2;Mh Josephat Gwajima
3;Mh Luhaga Mpina
4:Mh Kishimba
5 Mh Steven Byabato
6: Mh Ummy Mwalimu
7: Mh Angaline Mabula
8: Mh Abood
9;Mh Job Ndugai
ππππ Kwahy Jimbo Zima Lina binadamu mmoja?January makamba hata asipochukua atakuwa mbunge tu
Bumbuli kuna misukule hakuna watu
Wale ni misukule. Itoshe tu kuwapa pilau, tshirts, kofia na vipeperushi vyenye picha ya ya January makamba na chai baasiππππ Kwahy Jimbo Zima Lina binadamu mmoja?
Huyu ndiyo aliyempa JAMBIA LA KUULIA WATU ndugu MAFWELE.
Mzee Wagalilaya ana subiri uchaguzi wa pale Galilaya.Naye Gwajiboy anasubiri wa Pale Boston,tujulisheni kuhusu wengine.1;Mh Mohammed Mchengerwa
2;Mh Josephat Gwajima
3;Mh Luhaga Mpina
4:Mh Kishimba
5 Mh Steven Byabato
6: Mh Ummy Mwalimu
7: Mh Angelina Mabula
8: Mh Abood
9;Mh Job Ndugai