Je hawa wanamuziki ambao nyimbo zao zinapigwa kwenye treni za SGR wanalipwa kwa nyimbo zao kupigwa kwenye treni?

Wakuu hili ni swali la ufahamu tu maana nimesikia vibao kadhaa wa kadhaa huko tena baadhi ni vya wanamuziki wa hapahapa bongo.

Je wanalipwa hawa au ndo mambo ya uzalendo kwanza?
Kwenye mabasi kuna filamu za mkojani, kwenye sgr kuna nyimbo za nani?
 
Wakuu hili ni swali la ufahamu tu maana nimesikia vibao kadhaa wa kadhaa huko tena baadhi ni vya wanamuziki wa hapahapa bongo.

Je wanalipwa hawa au ndo mambo ya uzalendo kwanza?
Ukijiuliza watajibu zinazopigwa kwenye visipika vya sumu ya panya!
 
Wakuu hili ni swali la ufahamu tu maana nimesikia vibao kadhaa wa kadhaa huko tena baadhi ni vya wanamuziki wa hapahapa bongo.

Je wanalipwa hawa au ndo mambo ya uzalendo kwanza?
Kwani nyimbo zao zinatangaza SGR?
 
Wakuu hili ni swali la ufahamu tu maana nimesikia vibao kadhaa wa kadhaa huko tena baadhi ni vya wanamuziki wa hapahapa bongo.

Je wanalipwa hawa au ndo mambo ya uzalendo kwanza?
Ni kuwaenzi na kutambua mchango wao kwa ustawi wa nchi
 
Back
Top Bottom