Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Kwenye mabasi kuna filamu za mkojani, kwenye sgr kuna nyimbo za nani?Wakuu hili ni swali la ufahamu tu maana nimesikia vibao kadhaa wa kadhaa huko tena baadhi ni vya wanamuziki wa hapahapa bongo.
Je wanalipwa hawa au ndo mambo ya uzalendo kwanza?
Ukijiuliza watajibu zinazopigwa kwenye visipika vya sumu ya panya!Wakuu hili ni swali la ufahamu tu maana nimesikia vibao kadhaa wa kadhaa huko tena baadhi ni vya wanamuziki wa hapahapa bongo.
Je wanalipwa hawa au ndo mambo ya uzalendo kwanza?
Hakunaga hayo mambo ya kizamani. Wanapaswa kulipwa, treni/Sgr ni biashara kama biashara zingineWalipwe kivipi wakati wanawasaidia kutangaza miziki wao?
wanafanya promo?wakufanyie promo halafu wakulipe?
Kwani nyimbo zao zinatangaza SGR?Wakuu hili ni swali la ufahamu tu maana nimesikia vibao kadhaa wa kadhaa huko tena baadhi ni vya wanamuziki wa hapahapa bongo.
Je wanalipwa hawa au ndo mambo ya uzalendo kwanza?
Kwa style hii hata sisi tutaambiwa tukisikia hii miziki yenu tulipie 🤣🤣Hakunaga hayo mambo ya kizamani. Wanapaswa kulipwa, treni/Sgr ni biashara kama biashara zingine
kuna ubaya kwani?Kwa style hii hata sisi tutaambiwa tukisikia hii miziki yenu tulipie 🤣🤣
Ni kuwaenzi na kutambua mchango wao kwa ustawi wa nchiWakuu hili ni swali la ufahamu tu maana nimesikia vibao kadhaa wa kadhaa huko tena baadhi ni vya wanamuziki wa hapahapa bongo.
Je wanalipwa hawa au ndo mambo ya uzalendo kwanza?
kuna aliyeomba aenziwe?Ni kuwaenzi na kutambua mchango wao kwa ustawi wa nchi
Hata mtu akifa huwa haombi wamzikekuna aliyeomba aenziwe?
Kulipia tushalipia wakati tunazitafutakuna ubaya kwani?
au nyimbo ni yako mkuu?
dully sykes unamjua? kafa yule si yupo au?Hata mtu akifa huwa haombi wamzike
haa wapi fulu minyonyo nyinyi🤣Kulipia tushalipia wakati tunazitafuta