Je, haya Mahudhurio hafifu ya Poti wangu Marehemu Profesa Sarungi Karimjee Hall ni kuwa tuko busy au tumemsusa au Chuki yetu kwa Bintiye ni chanzo?

Je, haya Mahudhurio hafifu ya Poti wangu Marehemu Profesa Sarungi Karimjee Hall ni kuwa tuko busy au tumemsusa au Chuki yetu kwa Bintiye ni chanzo?

Kuwa na maudhurio ya watu wengi sio utakatifu ....kwa taarifa yako mzee tuko nae moyoni na hasa kwa kutuletea mtoto mwenye akili ...itoshe tu kusema Mzee wetu Sarungu kaacha Legacy kubwa kwa Taifa
Hivi aliyekufa ni Mzee Sarungi ninayemfahamu Mimi au ni huyu Mzee wako Sarungu ambaye Watu wote hata hawamjui?
 
Back
Top Bottom