Je, haya yanayoendelea CHADEMA kufuatia uchaguzi mkuu wa chama, sio mpango kazi wa ndani kupata attention kutoka kwa wananchi?

popomwitu

Senior Member
Joined
Aug 11, 2022
Posts
118
Reaction score
278
Nimejaribu tu kuwaza, hizi sarakasi za Mbowe na Lissu pamoja na team zao, sio mpango kazi wa ndani kuchukua attention kutoka kwa wananchi?, kwa yanayoendelea sio rahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…