Dah. Ndo maana SSH jana kawasifia anavyopenda kusikia wanavyoongea Kiswahili.Inawezekana pia hujui.
Kenya au wakenya wanaongea kiswahili fasaha kuliko sisi.Kwa lugha nyingine Wakenya wanafaa katika somo lakiswahili.
Leo hii ukiweka mtihani wakiswahili Kati ya mwanafunzi wa Kenya na Tanzania.
Mkenya anapata maksi nyingi kuliko Mtanzania.
Umeandika usiyoyajua kabisa! Kwa taarifa yako ni kuwa wakenya no wataalamu waziri Sana katika lugha ya kiswahili na walimu wa kiswahili wa kimataifa wanatoka Kenya!Kwa kumbukumbu zangu Mwendazake hakuwahi kuchukia wala kuwakataa wawekezaji; nakumbuka aliwahi kuwaambia watu wa Mazingira kwamba wanapaswa kufanya uchambuzi wa kimazigira wakati tiyari mwekezaji anaendelea na kazi.
Mwendazake aliwachukia wawekezaji wajanja ambao nazani ndo wengi sana nchi hii.
Hawa hawa tunaoenda kuwapigia magoti wengi ni wajanja janja sana tena mno.
Fikiria Shule ya English Medium ya mwekezaji wa Kikenya inakuwa hadi na Mwalimu wa somo la Kiswahili kutoka Kenya.
Kuna International school pia iko Arusha sitaitaja jina nilichoka kukuta Mwalimu wa somo la Kiswahili ni Mkenya asieee fikiia hapa.
Hawa ndo mwendazake alikuwa anawachukia sana, na ndo mama anataka kuwakumbatia.
Ila kwa kumbukumbu zangu Magufuli hakuwahi kukataa wawekezaji bali wawekezaji wajanja.
Kwa kumbukumbu zangu Mwendazake hakuwahi kuchukia wala kuwakataa wawekezaji; nakumbuka aliwahi kuwaambia watu wa Mazingira kwamba wanapaswa kufanya uchambuzi wa kimazigira wakati tiyari mwekezaji anaendelea na kazi.
Mwendazake aliwachukia wawekezaji wajanja ambao nazani ndo wengi sana nchi hii.
Hawa hawa tunaoenda kuwapigia magoti wengi ni wajanja janja sana tena mno.
Fikiria Shule ya English Medium ya mwekezaji wa Kikenya inakuwa hadi na Mwalimu wa somo la Kiswahili kutoka Kenya.
Kuna International school pia iko Arusha sitaitaja jina nilichoka kukuta Mwalimu wa somo la Kiswahili ni Mkenya asieee fikiia hapa.
Hawa ndo mwendazake alikuwa anawachukia sana, na ndo mama anataka kuwakumbatia.
Ila kwa kumbukumbu zangu Magufuli hakuwahi kukataa wawekezaji bali wawekezaji wajanja.
Sio kila anayeongea ama aliyesomea kiswahili anaweza kukifundisha! Wangekuwa wanaweza Basi watoto wetu wangepata Alama za juu Sana katika Somo la kiswahili kwenye mitihani yao! Elewa Hilo!Unawezaje ukaruhusu walimu wa Kenya nchini wakati tuna maelfu wa wahitimu wa Kitanzania wanaotaka hizo ajira?
Hizi ndizo akili za wanachama wa chama cha mbowe!
Kwa kweli, ndio maana hata wewe mwenyewe huwezi kuandika.Kwa taarifa yako ni kuwa wakenya ni wataalamu waziri Sana katika lugha ya kiswahili
Kwahiyo wakenya ndio wanaoweza kufundisha Kiswahili?Sio kila anayeongea ama aliyesomea kiswahili anaweza kukifundisha!
Sana tu! Ninyi wabongo mnakidharau kwa kuwa mnakiongea kila siku lakini kwenye ufundishaji wake ni changamoto kubwa kwenu!Kwahiyo wakenya ndio wanaoweza kufundisha Kiswahili?
Jamaa hata hajui kuwa chimbuko la kiswahili ni Mombasa/malindi ambazo ziko KenyaInawezekana pia hujui.
Kenya au wakenya wanaongea kiswahili fasaha kuliko sisi.Kwa lugha nyingine Wakenya wanafaa katika somo lakiswahili.
Leo hii ukiweka mtihani wakiswahili Kati ya mwanafunzi wa Kenya na Tanzania.
Mkenya anapata maksi nyingi kuliko Mtanzania.
Haya sawa.Sana tu! Ninyi wabongo mnakidharau kwa kuwa mnakiongea kila siku lakini kwenye ufundishaji wake ni changamoto kubwa kwenu!
Magufuli was typical utopian with zeal in micro-approach for managing ultra structures. He ended up failing miserably. He is gone. Let him rest where he deserves.Kwa kumbukumbu zangu Mwendazake hakuwahi kuchukia wala kuwakataa wawekezaji; nakumbuka aliwahi kuwaambia watu wa Mazingira kwamba wanapaswa kufanya uchambuzi wa kimazigira wakati tiyari mwekezaji anaendelea na kazi.
Mwendazake aliwachukia wawekezaji wajanja ambao nazani ndo wengi sana nchi hii.
Hawa hawa tunaoenda kuwapigia magoti wengi ni wajanja janja sana tena mno.
Fikiria Shule ya English Medium ya mwekezaji wa Kikenya inakuwa hadi na Mwalimu wa somo la Kiswahili kutoka Kenya.
Kuna International school pia iko Arusha sitaitaja jina nilichoka kukuta Mwalimu wa somo la Kiswahili ni Mkenya asieee fikiia hapa.
Hawa ndo mwendazake alikuwa anawachukia sana, na ndo mama anataka kuwakumbatia.
Ila kwa kumbukumbu zangu Magufuli hakuwahi kukataa wawekezaji bali wawekezaji wajanja.
Kua tu na walimu sio sababu.unaweza kua na walimu wenye vyeti ila wakawa wababaishaji tu.Unadhani kinachotukwamisha mara nyingi ni nini kama sio ubabaishaji na uswahili mahali pa kazi.Kuna kipindi south afrika ilichukua walimu wa kiswahili kenya badala ya Tanzania nasio kwamba hawajui kua Tanzania yaweza kua na walimu wengi wa kiswahili kuliko Kenya ila inawezekana kuna sifa za ziada tunazikosa.Yatupasa tubadilike badala yakukalia ubishi na ujuaji usio na maana.Unawezaje ukaruhusu walimu wa Kenya nchini wakati tuna maelfu wa wahitimu wa Kitanzania wanaotaka hizo ajira?
Hizi ndizo akili za wanachama wa chama cha mbowe!
Kwa umaskini na makuzi yake aliathirika kisaikolojia kiasi kwamba akawa anachukia kila mtu TAJIRI hata kama siyo muwekezaji.Kwa kumbukumbu zangu Mwendazake hakuwahi kuchukia wala kuwakataa wawekezaji; nakumbuka aliwahi kuwaambia watu wa Mazingira kwamba wanapaswa kufanya uchambuzi wa kimazigira wakati tiyari mwekezaji anaendelea na kazi.
Mwendazake aliwachukia wawekezaji wajanja ambao nazani ndo wengi sana nchi hii.
Hawa hawa tunaoenda kuwapigia magoti wengi ni wajanja janja sana tena mno.
Fikiria Shule ya English Medium ya mwekezaji wa Kikenya inakuwa hadi na Mwalimu wa somo la Kiswahili kutoka Kenya.
Kuna International school pia iko Arusha sitaitaja jina nilichoka kukuta Mwalimu wa somo la Kiswahili ni Mkenya asieee fikiia hapa.
Hawa ndo mwendazake alikuwa anawachukia sana, na ndo mama anataka kuwakumbatia.
Ila kwa kumbukumbu zangu Magufuli hakuwahi kukataa wawekezaji bali wawekezaji wajanja.
Mkuu umeua! ha ha ha!Badala ya ww kufungua shule, unazunguka kwenye shule walizofungua wakenya kuangalia waalimu wa kufundisha kiswahili! Nyie waswahili mkipata hela mnajenga guest houses, na nyumba za kupanga, kisha wakenya wakijenga shule mnajifanya wazalendo kuangalia waalimu. Ww zungukia short time kwenye guest zako, sio waalimu wa kiswahili kwenye shule ya mkenya.
Kuandika tu huwezi, halafu unataka kujitia mchambuzi wa hoja!?Kua tu na walimu sio sababu.unaweza kua na walimu wenye vyeti ila wakawa wababaishaji tu.Unadhani kinachotukwamisha mara nyingi ni nini kama sio ubabaishaji na uswahili mahali pa kazi.Kuna kipindi south afrika ilichukua walimu wa kiswahili kenya badala ya Tanzania nasio kwamba hawajui kua Tanzania yaweza kua na walimu wengi wa kiswahili kuliko Kenya ila inawezekana kuna sifa za ziada tunazikosa.Yatupasa tubadilike badala yakukalia ubishi na ujuaji usio na maana.
Hii uliipata wapi? Story hii wanaijua wazee wachache (ambao bado wanaishi) wa pale Kashalunga, Muleba mahali familia ya akina Magufuli ilikoishi hadi robo ya kwanza ya 1960s, kisha kuhamia Biharamulo na baadaye Kyato!kutojuwa biological father ambaye alikuwa mrundi
Nini kina kufanya ushangae Mwalim wa somo la kiswahili kutoka Kenya,Kwa kumbukumbu zangu Mwendazake hakuwahi kuchukia wala kuwakataa wawekezaji; nakumbuka aliwahi kuwaambia watu wa Mazingira kwamba wanapaswa kufanya uchambuzi wa kimazigira wakati tiyari mwekezaji anaendelea na kazi.
Mwendazake aliwachukia wawekezaji wajanja ambao nazani ndo wengi sana nchi hii.
Hawa hawa tunaoenda kuwapigia magoti wengi ni wajanja janja sana tena mno.
Fikiria Shule ya English Medium ya mwekezaji wa Kikenya inakuwa hadi na Mwalimu wa somo la Kiswahili kutoka Kenya.
Kuna International school pia iko Arusha sitaitaja jina nilichoka kukuta Mwalimu wa somo la Kiswahili ni Mkenya asieee fikiia hapa.
Hawa ndo mwendazake alikuwa anawachukia sana, na ndo mama anataka kuwakumbatia.
Ila kwa kumbukumbu zangu Magufuli hakuwahi kukataa wawekezaji bali wawekezaji wajanja.
Hakuwa na akili kama weweKwa kumbukumbu zangu Mwendazake hakuwahi kuchukia wala kuwakataa wawekezaji; nakumbuka aliwahi kuwaambia watu wa Mazingira kwamba wanapaswa kufanya uchambuzi wa kimazigira wakati tiyari mwekezaji anaendelea na kazi.
Mwendazake aliwachukia wawekezaji wajanja ambao nazani ndo wengi sana nchi hii.
Hawa hawa tunaoenda kuwapigia magoti wengi ni wajanja janja sana tena mno.
Fikiria Shule ya English Medium ya mwekezaji wa Kikenya inakuwa hadi na Mwalimu wa somo la Kiswahili kutoka Kenya.
Kuna International school pia iko Arusha sitaitaja jina nilichoka kukuta Mwalimu wa somo la Kiswahili ni Mkenya asieee fikiia hapa.
Hawa ndo mwendazake alikuwa anawachukia sana, na ndo mama anataka kuwakumbatia.
Ila kwa kumbukumbu zangu Magufuli hakuwahi kukataa wawekezaji bali wawekezaji wajanja.
Magufuli alimchukia kila mtu isipokuwa vijana wake wa Tanroads.Kwa kumbukumbu zangu Mwendazake hakuwahi kuchukia wala kuwakataa wawekezaji; nakumbuka aliwahi kuwaambia watu wa Mazingira kwamba wanapaswa kufanya uchambuzi wa kimazigira wakati tiyari mwekezaji anaendelea na kazi.
Mwendazake aliwachukia wawekezaji wajanja ambao nazani ndo wengi sana nchi hii.
Hawa hawa tunaoenda kuwapigia magoti wengi ni wajanja janja sana tena mno.
Fikiria Shule ya English Medium ya mwekezaji wa Kikenya inakuwa hadi na Mwalimu wa somo la Kiswahili kutoka Kenya.
Kuna International school pia iko Arusha sitaitaja jina nilichoka kukuta Mwalimu wa somo la Kiswahili ni Mkenya asieee fikiia hapa.
Hawa ndo mwendazake alikuwa anawachukia sana, na ndo mama anataka kuwakumbatia.
Ila kwa kumbukumbu zangu Magufuli hakuwahi kukataa wawekezaji bali wawekezaji wajanja.
Hakutakiwa kuwachukia, alitakiwa awawekee sheria, kanuni na taratibu za kufuata wakizikiuka ashughulike nao.Kwa kumbukumbu zangu Mwendazake hakuwahi kuchukia wala kuwakataa wawekezaji; nakumbuka aliwahi kuwaambia watu wa Mazingira kwamba wanapaswa kufanya uchambuzi wa kimazigira wakati tiyari mwekezaji anaendelea na kazi.