Je, Hayati Magufuli alichukia wawekezaji au alichukia wawekezaji janja janja?

Acha utoto wa majukwaa ya kisiasa. Hapa tunajadili mambo serious ya nchi na kujenga akili. Nani aliyefilisiwa unayeweza kumsifu ni mtu mwaminifu. Ukizoea misheni tauni, kina kitu cha hovyo unaona ni halali yako.
Sasa wewe mlamba matako ya huyo shetani mtu utajua wapi ufisadi wake wakati hata mlo wako unategemea kubinua matako yako!
 
Wewe huwajui Wakenya mkuu, nazani uko huko Nanyamba mtwara huwajui,
Mkuu, acha basi kutudharau tunaoishi vijijini. Mimi niko huku Nkotokwiana, kijijini kabisa, afadhali Nanyamba ni ka center kakubwa, lakini nawajua wakenya, zamani sisi tukiwa wadogo tunacheza chipukizi walikuwa wanaitwa nyang'au.
 
alisema tutamkumbuka
 
Kwani shida ipo wapi mwalimu wa kiswahili akiwa mkenya? Iwapo km anajua anachofundisha!?
 
Unawezaje ukaruhusu walimu wa Kenya nchini wakati tuna maelfu wa wahitimu wa Kitanzania wanaotaka hizo ajira?

Hizi ndizo akili za wanachama wa chama cha mbowe!
Km ana vigezo na sheria inaruhusu kwanini asiajiriwe?
 
Km watu wako sio competent shida ipo wapi ukimtafuta mtu wa nje wa kuweza kufanya kazi kwa ufasaha?

Leo hii simba inashine sababu ya professional kutoka nje wanaojua nn kazi yao inataka.

Sasa wewe unawatetea watanzania ambao hta ethics zao za kazi hawajui wanaishia kuwapachika mimba wanafunzi wao
 
Walimu wa kitanzania hawajitambui wameathirika na incompetent culture ya kitanzania

We muda wa kuingia darasani umefika uko busy na simu!

Shule anayosoma mwanangu mwenye shule kaweka sheria unapofika shuleni lazima uzime simu na uikabidhi kwa mlinzi mpaka muda wa masomo uishe
 
Mbona iko wazi kabisa. Jpm alikua muomini wa uwekezaji sio wababaishaji. Wababaishaji ndio waliyokua wanadai hakua rafiki na wawekezaji au wafanya biashara. Uwekezaji ni kuwekeza fedha zako kuanzisha mradi wenye tija na maendeleo ya taifa. Mtu kama simon group wababaishaji wenye kutaka kukwapua shirika la umma na kuliendesha kwa gharama ya serikali ndio walikua hawatakiwi na jpm. Watu kama wale wakuu wa tanzania sisal authority waliyopora shika wakijidai wamelinunua ndio jpm hawataki. Na wababaishaji kwenye uwekezaji ni miongoni waliyomchukia sana jpm.
 
Nyie kaeni kushangilia. Mmegubikwa na chuki binafsi kwa hayati Magufuli. Mtakapoamka mtakuta ardhi na biashara zote imechukuliwa na Wakenya. Baadaye mtakuwa vibarua wa Wakenya. Hapo ndiyo mtakapomkumbuka uncle Magu.

Naona tunajaribu kung'ang'ania biashara huria, na hiyo biashara huria inahusu Tanganyika tu! Maana Mtanganyika ni marufuku Pemba/Zanzibar. Huko ardhi huruhusiwa kupasta. Lakini huku Tanganyika ni vya bwerere. Kila mtu anakuja na kujitwalia atakavyo! Kwa nini Wakenya wasikaribishwe Pemba na Zanzibar, ama kweli wajinga ndiyo waliwao.

Wakenya watapenya ns kwenda vijijini na kujitwalia ardhi yote kwa jina la uwekezaji. Maadam TZ kuwekeza siyo lazima uwe na pesa. Unachohitaji ni ujanja wa kupewa ardhi kwanza, ukiishaipata ardhi unaitumia kukopa hapahapa TZ. Ukishapata hiyo pesa unaenda kuwekeza kwingine na siyo kule ulikoombea pesa. JAMNA TWALIWA MCHANA.
 
Wewe ni Mkenya, unajifagilia. Tangu lini mkenya akajuwa Kiswahili fasaha!
 
Watanzania wanaotazama masuala kwa umakini ni wachache. Wengi wetu tunasukumwa na ushabiki yaani "Bendera fuata upepo". Ndio shida yetu kubwa.
You have no confidence in yourself.
 
Jamaa hata hajui kuwa chimbuko la kiswahili ni Mombasa/malindi ambazo ziko Kenya
Alikudanganya nani kuwa Mombasa/Malindi ndiyo chimbuko la KIswahili. Soma historia. Bukua kuhusu Kilwa, baadaye nenda Zenj alafu urudi humu kueleza.
 
"Nataka Matajiri waishi kama mashetani"
Mojawapo ya kauli ya magufuli,
Matajiri ndio wawekezaji
 
Mfu shetani mtu Magufuli alikuwa anataka mwekezaji atakayekubali kufanya naye ufisadi vinginevyo anakufilisi na kukufungulia kesi ya kutakatisha fedha na uhujumu uchumi!
Kumbe misukule ya mange hadi huku imo😅,!
hebu tupe ushahidi wa hiki ulichokiandika.
 
Na ndio vilaza wamejazana humu wakitetea ujinga tu wakati hawana uwezo wa kushindana na wakenyankwenye soko la ajira.
 
Wewe ni Mkenya, unajifagilia. Tangu lini mkenya akajuwa Kiswahili fasaha!
BNaona muungano wa Wakikuyu na Mbowe
Kwani shida ipo wapi mwalimu wa kiswahili akiwa mkenya? Iwapo km anajua anachofundisha!?
Nchi zote duniani zinatetea wanachi wake kwanza na pale ambapo hamuwezi ndiyo mnaazima toka nje. Sasa wewe ajabu huoni shida kazi ambazo WaTZ wanaweza kuchukuliwa na wageni. Sijui wewe nio mtu wa namna gani? Mimi naogopa muungano wa WAKIKUYU na MBOWE, sijui nchi itabaki salama. Naona wafuasi wa Mbowe wanawashobokea Wakikuyu. MTAJAJUTA.
 
Si kweli
 
MO ni mfanyabiashara, Azam ni wafanyabiashara!! Mbona hao hajawachukia???, Tatizo la wafanyabiashara wengi wa kibongo walikuwa wanacheza madili ya upigaji na wafànyakazi wa serikali. Na kwa bahati mbaya zaidi walikuwa wanatumia hayo makampuni yao! Bila kujuwa kuwa yule mfanyakazi wa serikali kesho hatakuwepo hapo! na serikali itafuata document zenu na serikali. Kuwa kama mzee mengi ( RIP) kampuni yako haitasumbuliwa hata kidogo. Lipa kodi acha janja janja. Mara nguzo za tanesco zizalishwe iringa, kesho useme eti zinazalishwa south.
 
Marehemu hakujua hata A kwenye uchumi. Alikuwa anaiburuza nchi, alimradi wapo wajinga wa kushangilia chochote.
 
Miaka mitatu iliyopita, mwanafunzi aliyefanya vizuri kuliko wote kwenye somo la Kiswahili, alikuwa mchina.

Watanzania wengi hawajui Kiswahili, hata kwenye jukwaa hili wapo wengi sana. Wengine mahali pa kuweka ha, wanaweka a. Badala ya kuweka hu wanaweka hau. Sasa, hao ndio walimu wa kufundisha Kiswahili sanifu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…